Tiga Wana

Willy, Willy, Willy Willy Willy Willy
Willy, Willy Willy, Willy
Msaafiii...
Willy Pozee ako wapi? Ako apo
Namba Nane ako wapi? Niko apa
Willy Pozee ako wapi? Si tuko apaa

(Teddy B)

Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida TW

Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)
Mili-mili-mili-milima na mabonde nimepitia re
Nikisukuma neno la bwana re
Nazo chuki re, nazo chuki re, nazo chuki re (Ee-eeh)

Okay tiga wana weh (pepo)
Okay tiga wana weh (pepo)
Okay tiga wana weh (Aeeh)
Lord I want to praise you every single day
I want to love you every single day
I want to praise you every single day

(Pause. Kama kawa...)
Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida T.W.

Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)

Mmmh Namba Nane Size 8,
AKA Mama Wambu
Ni kweli mi napiga neno, (Eeehh)

Tiga wana weh (Devo)
Tiga wana weh (Devo)
Tiga wana weh
Tiga wana weh
Tiga wana…

Kitu moja ndani ya millioni,
Ata mabilioni, ata matrilioni (Iiihh)
Nipende Baba, Usije nilenga Baba
Fungua milango Baba, (Aiyayayah)
Lord I want to praise you every single day
I want to love you every single day
I want to praise you every single day

(Pause. Kama kawa...)
Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida TW

Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)
Tiga wana we (noma)

Si mlete bakora, mikuki
Tumpige ibilisi atoke
Tusukume neno iendee (Ah ah, Size 8)

Si mchome shetani na fire
Tumpige mateke aende
Neno la Bwana mbele liende
Neno la Bwana mbele lisonge

Okay tiga wana weh
Okay tiga wana weh
Okay tiga wana weh
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we

Músicas mais populares de Willy Paul

Outros artistas de Contemporary R&B