Nomare

Willy Paul, Juliani

Saldido! Ati huyu mtoto amepotea (Pozeee!) nkt! Kwani ni mtoto yako
Ata chai hawezi nunua nkt! (Juliaaaneee!) kwani ni mtoto yako

Ati huyu mtoto amepotea
Nkt! Kwani ni mtoto yako
Hata chai hawezi nunua
Nkt! Kwani ye ni mama yako

Ati nalewa nawaka naharibu pesa mmh
Nkt! Kwani ni mtoto yako
Hata mi nikiwa less mmh
Nitapiga nguo za wiki Sunday best aaah
Hata mnichaneree
Nitapiga nguo za wiki Sunday best mmh

Si the other day I was in church
To thank the Most High God
For the gift of life yoo
There were people judging me
Left and right back and center mmmh

Nomare, wakiona prosperity
Nomare, wanadhani ni abnormality
Nomare, yaani kama vile vanity
Nomare, hii yote ni reality

Mbona unaroll kwenye bima (Ni yangu)
Si ungeshikia mama hata nyumba (Ni wangu)
Mbona unaishi Kileleshwa (Ni kwangu)
Na babako anateta hana pеsa (Ni babangu)

Wengine wana information wachache wana truth
Truе true true true
Kuna wajinga wako tu na knowledge ya books
Ooooh...

Na pia wale - haiambatani na looks
Usiamini ulimi ya mtu only neno aliye juu
Binadamu wana maroho
Nia yao kukuvunja moyo

Binadamu always wanalia, bahari ya bandia
Niko alive juu ya grace ya Mungu
Si favour ya mtu
Tulikubalia hakuna aliye clean through

Hatukosi spot star kofia ya mabutu
Hawatendi kitu bila strings attached
Kama orutu nina mengi ya kusema bila ku edit
Kabla niingie ile shimo hainanga exit

Niko solo sitegemei clicks kama kamridge
Wacha kuletea flower when mapua ina pamba
Ati love ndio tulove back
Nikuone ni kuparty, ndio ikuwe best position kukustop

Si the other day I was in church
To thank the Most High God
For the gift of life yoo
There were people judging me
Left and right back and center mmmmh

Nomare, wakiona prosperity
Nomare, wanadhani ni abnormality
Nomare, yaani kama vile vanity
Nomare, hii yote ni reality

Nomare, mtoto amepotea
Nomare, kwani ni mtoto yako
Nomare, hata chai hawezi nunua
Nomare, kwani ye ni mama yako

Hata mi nikiwa less
Nadunga nguo za wiki Sunday best

Nomare, wakiona prosperity
Nomare, wanadhani ni abnormality
Nomare, yaani kama vile vanity
Nomare, hii yote ni reality

Músicas mais populares de Willy Paul

Outros artistas de Contemporary R&B