Tamu Walahi

Saldido
Eeh Eeh Eeh Eeh Eeh
Eeh Eeh Eeh Eeh Eeh
Eeh Eeh Eeh Eeh Eeh

Katoto hodari, akikata hodari
kiuno hodari, akipanda hodari
full shangwe anajiachia

Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi
tamu walahi tamu walahi

Eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole
yaani mwendo wa kobe, kobe kobe kobe
Kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji
mwendo wa kobe kobe kobe kobe
Anafanya, namwaga jasho sho sho
natokwa na pepo popo shoti kama ya Ronaldo dodo iiih
Ngozi ilivo nyooka, malaika my darling
Lala lala lala lala lala lala lala lala lala

unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe
eti pepe, naskia tu pepe

Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi na tukicheza
tamu walahi tamu walahi tamu walahi

Mtoto anataka tucheze tu baibuda maimuna hataki pressure,
ooh my love.
Ooh baby ukiniguza wanitia haya
na unavokata chumbani mama unani maliza
aaih mama, mama, wanimada mama
wanimaliza mama
mmmh mama
Wanaokudharau, wana roho mbaya
itabidi wafunge virago warudi waliko toka
Shindwe pepo mbaya

unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe
eti pepe, naskia tu pepe

Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi
tamu walahi tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi na tukicheza
tamu walahi tamu walahi tamu walahi

Músicas mais populares de Willy Paul

Outros artistas de Contemporary R&B