Bora Uhai

Mmmmhh ma mama
Beat ya pozzee) Mmmh ma mama
Saldido

Uyu ni pozee, sio roze uyu ni pozee
Uyu ni pozee, sio rozee uyu ni pozee
Sijui ni shaku ama ni kuku
Wananitingitingi kama bantu
Some people make me go crazy
Wananiita ata ng'ombe
Wananifollow willy willy kama drama
Utadhani mimi willy Instagrama
Wanauliza naendesha gari gani
Ni hii bima ama ile benz
Wanauliza mi naishi nyumbe gani
Ni runda one ama runda mbili
Wanauliza nahubiri inijili gani
Injili ya mwokozi ama ya mabinti
But asante mungu, kwa uhai Hiii!
Bora uhai

Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Iiih eeh ma mama
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Iiih eeh ma mama

Napokea baraka kutoka kwa most High
Na big mansion iko close by
And a private jet men I don't lie
Hii yote bila whitecollar ama bow tie
Mi husema God husaidia wale hujipea motisha
So call me David vile mkono narudisha
Nasema asante nasi pupa msee
So uwivu ya nini na atakupa basi if you can pray
Na atakaa nina wabore
Nikishinda nawatajia kayole
Bora ujue sina ngori
Bado tuna shine ama vipi pozzee

Kuna shine tuna shine ama vipi OG?
Kwa mwenyezi tuko fiti OG
Wenye roho mbaya tunaweke fit
Hatuwakanyagi fit ndi
Ndio Baraka zikicome waone kwa mbali
Wabaki wakilia kama tulady

I got the congregation saying huyo Pastor ni moto
Nikitibu nakafunga mi si daktari msoto
Bruh i’m international saa sitaki local
Bora uhai whether chai ama Cadbury coco

Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Ii eeh mama mama
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Ii eeh ma mama

Uyu ni pozee, sio rozee uyu ni pozee
Uyu ni Pozee, sio rozee uyu ni pozee
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Iieehh mama mama
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Ieehh mama eeeh

Músicas mais populares de Willy Paul

Outros artistas de Contemporary R&B