Kivuruge

Ulienipa maumivu me kama nyang'au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki mashosti ukannidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Oh Oho ulie nipa maumivu me kama nyang'au na tena
Maumivu dawa ninywe vidonge mhh
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu tress niwe mnyonge

Leo sina thamani ndo maana
Unawafata milupo oh baba
Leo sina thamani eeh
Ndo maana unawafata milupo
Oh baba we niache

Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona ( niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona, aaaah ooh

Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
Hata zawadi nikikuretea ausemi asante
Tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini
Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
Kwangu moyo we unauchanganya a
Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we
Kitu gani kwako mi sijafanya eeeh eeh
Ama kuna mtu mnapendana sana

Leo sina thamani ndo maana
Unawafata masista du oh baba
Leo sina thamani eeh
Ndo maana unawapata masista du
Oh baba we niache

Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama),
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache),
Nitapona mdogo mdogo nitapona ( niache niende salama),
Nitapona mdogo mdogo nitapona, aaaah ooh

Aiyoyoiyoh

Músicas mais populares de Nandy

Outros artistas de Afrobeats