Society
Society, tunauana kila siku akilini na moyoni
Society, hatujali tunapuuza tukifunzwa kanisani
Society, tunaishi peke yetu hatujui majirani
Society ni sisi
Why are we blaming society
Tumeagree kuwa greedy
Don't we know that less is more
Why man so money minded We don't care anymore
Society, vijana wanahangaika, wako juu ya madawa
Society ni sisi
Why are we blaming society
Society, tunauana kila siku akilini na moyoni
Society, hatujali tunapuuza tukifunzwa kanisani
Society, tunaishi peke yetu hatujui majirani
Hatujaliani, tunajijali pekee Selfishness
Look what we've become, everybody's on their own
Hatujaliani, tunajijali
Binadamu kageuka mnyama Sisi sote tunapambana kivyetu, there is no unity