Show Me (feat. Rich Mavoko)

Aah mwenzako I feel so good kipindi nikikuona
Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona
Wakati unakwenda au unarudi wakata kona
Nyuma ka katuni za Masudi ulivyonona
Eeeh! hivi unapenda wa vifua ka roboti ama sanamu
Au wazee wa kununua mwaga noti akina sallam

Oooh oh Anita macho kama unaniita, (aaahaaaa)
Saa sita shepu Vera Sidika (aaahaaaa)
Anita macho kama unaiita (aaahaaaa)
Saa sita shepu Vera

Ahh show me! show me!
Show me! (Unavyodance)
Show me! Show Me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)
Aah show me! (eeh) show Me!
Show me! Unavyodance)
Show me! (Eeh) show me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)

Umenifinyanga kama Dona Mmakonde na Ndonya
Kama mpira Maradona kichuya kona
Na wakisema na mawenge waambie Werrason
Wakiringisha peremende nitakugawia koni
Chunga kipenzi majaribu mabaya sana oooh
Na wewe ndo Dokta wa kunitibu niwe salama oooh

Oooh baby Anita macho kama unaniita (aaahaaaa)
Saa sita kiuno ka Yondo sister (aaahaaaa)
Anita macho kama unaniita (aaahaaaa)
Saa sita kiuno ka Yondo sister

Ahh show me! show me!
Show me! (Unavyodance)
Show me! Show Me!
Show me! (Waonyeshe Unavyodance)
Aah show me! (Eeh) show me!
Show me! Unavyodance)
Show me! (Eeh) show me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)

Asa Mombasa Nairobi (Sakata Dance)
Kampala Kigali (Sakata Dance)
Zimbambwe Kwatobi (Sakata Dance)
Naija Somali ( Toto Sakata Dance)
Wanangu wa Panya Road (Sakata Dance)
Chaukucha kwa Sadali (Sakata Dance)
Na Unyamani Biomi (Sakata Dance)
Kizonga kwa Natali (Toto Sakata Dance)
Ahaa ahaa ahaa (Unavyodance)
Ahaa ahaa ahaa (Waonyeshe unavyodance)

Músicas mais populares de Harmonize

Outros artistas de Afrobeats