Ni Wewe

Blame It On Don

LYRICS TO THE SONG "NI WEWE " BY DON SANTO
Title: Ni Wewe
Artist: Don Santo
Genre: Kalpop
Album: Am BLACK
Label: Klassik Royale

VERSE 1
Bora mimi najua, ewe Mola
Moyo wangu umeshakubali
Siwezi lolote
Like nothing
You are always amazing and winning
Kwa maisha waeza pata penzi tamu au chungu kama shubiri
Katika hulka za maisha waeza dhani umepata kumbe umefeli
Hakuna uonalo jema…
Kiwa Nawe…
I will always count my blessings

CHORUS
Ni weweeeeeeeeh …………
Milelee eh eeeh…….. X2

VERSE 2
Mu muoyo kwanje
Shindaleka
Amakesi ka buonia bwo
Kwamba hakuna mwengine utapenda kwa kweli Ila mimi
Kwako nitatuliza vyema…
Kiwa Nawe…
I will always count my blessings

CHORUS
Ni weweeeeeeeeh …………
Milelee eh eeeh…….. X2

VERSE 3
Last time, kuna venye nilikosa
Na pia nika-run away
This time, nitatulia tu Nyasacha
Kwa vile nime-learn your way

Unanipa sababu kabambe kukupa sifa
Sifa Yako, Siwezi ng’ang’ania
Kiwa Nawe …
I will always count my blessings

CHORUS
Ni weweeeeeeeeh …………
Milelee eh eeeh…….. X2

[OUTRO]
#BlameItOnDon

Curiosidades sobre a música Ni Wewe de DON SANTO

Quando a música “Ni Wewe” foi lançada por DON SANTO?
A música Ni Wewe foi lançada em 2019, no álbum “Am BLACK ”.
De quem é a composição da música “Ni Wewe” de DON SANTO?
A música “Ni Wewe” de DON SANTO foi composta por Blame It On Don.

Músicas mais populares de DON SANTO

Outros artistas de