Mapenzi Basi

(A-A-A, AM Records) this is crazy
But, I just wanna tell you
How badly my heart is breaking
This is absolutely painful for me to say
'Damn’

Mi mwenzenu tena basi oh, mapenzi sitaki
Oh, mwenzenu tena basi basi
Sitaki mi mwenzenu tena basi
Oh, mapenzi sitaki oh, mwenzenu tena basi
Basi sitaki

Yalinifanya nikaugua mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Ah, sikulala (sikulala)
Oh, maradhi nikaugua, oh oh
Yakanichoma na kuungua roho
Kutwa nawaza na kuwazua sikulala

Eh haya mapenzi bwana
Hayana maana yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana nikatukanwa
Lakini akanipiga teke aiih
Haya mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana nikatukanwa
Iye

Mi mwenzenu tena basi oh, mapenzi sitaki
Oh, mwenzenu tena basi basi
Sitaki mi mwenzenu tena basi
Oh, mapenzi sitaki oh, mwenzenu tena basi
Basi sitaki

Oh, nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwagia radhi sababu yule fulani
Yule wa moyo wangu yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa Simba na panzi vurugu kwa majirani
Ah, e Mola yangu

Eh haya mapenzi bwana
Hayana maana yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana nikatukanwa
Lakini akanipiga teke aiih
Haya mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana nikatukanwa
Iye

Mi mwenzenu tena basi oh, mapenzi sitaki
Oh, mwenzenu tena basi basi
Sitaki mi mwenzenu tena basi
Oh, mapenzi sitaki oh, mwenzenu tena basi
Basi sitaki

Músicas mais populares de Diamond Platnumz

Outros artistas de Electro pop